ufaulu wa kidato cha nne umeongezeka kwa asilimia 5.19

"Kidato cha Nne waliofanya mitihani ni 434,654 waliofaulu ni 373,958 sawa na asilimia 85.84, ufaulu wa kidato cha nne umeongezeka kwa asilimia 5.19 ukilinganisha na mwaka 2019"- Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, Dkt Charles Msonde


0 Comments:

Post a Comment