PATRICK AUSSEMS LASIMI AFC LEOPARDS
-Kocha wa zamani wa vilabu vya Stade Reims π¨π΅, Angers π¨π΅, Simba SC πΉπΏ, AC Leopards π¨π¬ na Black Leopards πΏπ¦, Patrick Aussems ametambulishwa na klabu ya AFC Leopards π°πͺ kama kocha mkuu mpya wa klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu nchini Kenya.
0 Comments:
Post a Comment